sw
Bücher
Peter Gotthardt

Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.
Mahali fulani ndani sana kwenye mlima kuna fimbo takatifu ambayo inaweza kumzidi nguvu Mfalme mwenye Majivuno, ambaye ni adui mbaya zaidi wa Vibwengo. Lakini hakuna anayejua ilikofichwa. Je, Mkwamba na Rafiki zake wanaweza kuipata sehemu ilikofichwa kabla hawajachelewa?
Hiki ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya “Hatima ya Vibwengo.” Visome vitabu vyote katika mfululizo:
Wanajeshi Shupavu
Moyo wa Jabali
Makaburi Yaliyosahaulika
Filimbi ya Kichawi
Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. nnGotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.
26 Druckseiten
Ursprüngliche Veröffentlichung
2019
Jahr der Veröffentlichung
2019
Haben Sie es bereits gelesen? Was halten sie davon?
👍👎
fb2epub
Ziehen Sie Ihre Dateien herüber (nicht mehr als fünf auf einmal)